Music Video

Unanimaliza(cover)#kondegang #coversong Harmonize & Mr blue#trending
Watch Unanimaliza(cover)#kondegang #coversong Harmonize & Mr blue#trending on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Abdukahal Ibrahim
Rajabu Abdukahal Ibrahim
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
First time when I saw you
Nilitamani nikueleze how I feel
That was dream come true uh uh
Alau macho nikukonyeze maybe you can feel asuu
[Verse 2]
Moyo ungekuaga kitabu
Ningefunia uone yaliyomo ndani
Lakini mwenzako napata tabu sina furaha ata tone
Nioneege imani oh my love (Oohoo)
[PreChorus]
Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umeseme no ooh, ooh
Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umesema no ooh noo, no-no, no-no yeah
[Chorus]
(Kusema kweli mi) Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
[Verse 3]
Chibonge nimekua kibaombao, ghafla chui nimekua kinyau-nyau
Mpaka sijui nayosema nimesahau, vita ya penzi imekua kama maumau
Nikiona sura nakonda nikiona chura nasindwa kubonga
Nakua mbulura masikini omba omba, kutwa nazurura kutuliza kidonda
Maumivu kama yangu anayo (Konde Boy), namtuliza mwanangu (Ahh usikonde boy)
Macho yanaona yes, akili inasema no-no-no atakukazia
[PreChorus]
Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umesema no ooh noo, no-no, no-no yeah
Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umesema noo, no-no, no-no yeah
[Chorus]
(Kusema kweli mi) Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
Inaniumiza inanimaliza na sijamaliza
Written by: Rajabu Abdukahal Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out