Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kusah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kusah
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cukie Daddy
Producer
Lyrics
Intro
Olololoooh ni kusah tena
Mmmmh Cukie ...
Verse 1
Nilichelewa wapi,
kuyapata mapenzi mpaka moyo ukaweka doa
Kila nilompenda ,Alinikomoa
Nikachukia kupenda ,nikajitoa (onanaah!)
Nimepata mapenzi,na nafsi yangu imepoa ,Makando kando yote nimeyatoa
Natamani tuanze vikao vya ndoa (omamamaa)
Huyu wa sasa niko radhi aniroge, Niko radhi anifanye lolote, Niko radhi anifungie nisitoke,Nibaki ndani
Penzi lake nimelewa ni pombe,anipea hasubiri niombe
Me ndio wa kwanza kukivunja kikombe
Niwape habari
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Chorus
Napenda ukiniita , My love
Ukiniita Asali
Ukiniita wa ubavunii
Eti mahabuba
Verse 2
Vinakshi nakshi, na sukari ya pendo
Baby huu upendo,watakimbiza upepo (mamamaah)
Nina vidonda ,niliumizwa na penzi
Nikakataa nikachukia mapenzi
Nashukuru nimepata mpenzi
Wakufa na kuzikana na yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Na kesho asubuhi, nitapanda ndege
Inipeleke juu, nikachore jina lake yeye
Chorus
Napenda ukiniita , My love
Ukiniita Asali
Ukiniita wa ubavunii
Eti mahabuba
Written by: Kusah