Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Ibraah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Oh baby, baby
Nshakupa moyo naomba uifadhi
Mmh, baby
Ya nini nifiche, mi naweka wazi
[Verse 2]
Penzi standard gauge, gauge
Basi nipande mapaparazi
For anything me am ready
Nipende nikupende tuwaache midomo wazi
[Verse 3]
Ukitoweka ntakumissi
Kama makosa tushafix
Kama kweli unanipenda nikissi baby
Wee
[Verse 4]
Usinipe za uongo hadithii
Sio kazi firisi
Nigeuze kitoweo nifishy baby
Wee
[PreChorus]
Nakupenda kweli sikatai
Kama unanipenda hadi mwisho wa uhai
Halichuji sikukinai
Penzi tamu nshaiverify kwa Baba God
[Chorus]
Baba anabless, God anabless (Mpaka tuzeeke wote tunapendana)
Maisha inaenda risk, life ni kurisk (Ila bado tuko sote tunapendana
Baba anabless, God anabless (Mpaka tuzeeke wote tunapendana)
Maisha inaenda risk, life ni kurisk (Ila bado tuko sote tunapendana)
[Bridge]
Baby nkikukosea wewe, nmejikosea mwenyewe nanung'unika
Baby kukukosa wewe ni majuto naomba Mungu yasijenifika
[Verse 5]
Hivi ni kweli we uliumbwa kwa udongo ama umeshushwa we ni
Malaika, malaika
Unaenipa vya kadhalika ahee
[Verse 6]
Kuna muda nilijiuliza why, kila siku naumizwa mimi
Ama ndio mambo ya masikini hazai, leo napendwa siamini
[PreChorus]
Nakupenda kweli sikatai
Kama unanipenda hadi mwisho wa uhai
Halichuji sikukinai
Penzi tamu nshaiverify kwa Baba God
[Chorus]
Baba anabless, God anabless (Mpaka tuzeeke wote tunapendana)
Maisha inaenda risk, life ni kurisk (Ila bado tuko sote tunapendana)
Baba anabless, God anabless (Mpaka tuzeeke wote tunapendana)
Maisha inaenda risk, life ni kurisk (Ila bado tuko sote tunapendana)
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out