Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Siraju Hamisi Amani
Composer
Zuhura Othman Soud
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Wa rohoni
Ukweli kabisa nakukunda chane
Hapo moyoni
Peke yako umeka, you are the only one, ayaya
[Verse 2]
Nawataarifu nimempata mwenyewe
Huyu ndo anaenifaa haya
Na nisitake kitu lazima tu nipewe
Sione nawakata aya
[PreChorus]
Nami naahidi (Mh, nami naahidi aye)
Chaguo langu ni wewe (Chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi (Ah, sina, sina)
Nitakupenda milele, eh-eh
[Chorus]
Pwita, pwita, pwita, pwita
Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita
Pwita, pwita, pwita, pwita
Pwita, pwita, moyo unani pwita, pwita
[Verse 3]
Tunaendana, hamuoni hata mkitutazama
Tunapendana, mi' nae kufa kuzikana
Ananipa tende nampa asali (Asali)
Mpende msipende wala sijali (Sijali)
[PreChorus]
Nami na, ah
Nami naahidi (Ah, nami naahidi aye)
Chaguo langu ni wewe (Chaguo langu ni wewe)
Sina wa zaidi (Ah, sina, sina)
Nitakupenda milele, eh-eh
[Chorus]
Pwita, pwita (Ai jamani)
Pwita, pwita (Unani pwita mimi)
Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita (Mh)
Pwita, pwita (Ai jamanii)
Pwita, pwita (Likitajwa jina lako)
Pwita, pwita moyo unani pwita, pwita
Written by: Siraju Hamisi Amani, Zuhura Othman Soud