Lyrics

Namtafuta Bwana Yule yule wa ushindi mi ndo pekee najua wapi aliko nitoa
Nina historia uzoefu wa ushindi kwa macho nimeona Mungu alivyonibeba
From zero to hero from nothing to something, nami leo ni mtu katikati ya watu.
Hakuna kama Mungu hii dunia alitamka ikawa ikatokea
Umbali tumefika ni huyu Yesu asingekua Mungu tusingefika hapa
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu (hebu sema neno) Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu (hebu sema neno hee hebu sema neno)
Hapa nilipo shida zangu zitakoma,
(Zitakoma shida zangu zitakoma Sema neno) Hapa nilipo shida zangu zitakoma
(Zitakoma shida zangu zitakoma Bwana Sema neno)- Hapa nilipo eeh hapa nilipo
Yesu hapa nilipo eeh Bwana hapa shida zangu zitakoma.
Akida aliishi na mtumwa aliyempenda kaugua kiasi cha hata kufa
Akatuma wazee wamuite Yesu aje nyumbani mwake
He hee alipotuma wazee wamuite yesu Nyumbani mwake aje
Ili amponye huyu mtumwa wake kabla afike tena katuma wajumbe
Yesu wala usijisumbue kufika nyumbani kwa Akida sema neno tu hapo ulipo na mtumwa atapona
Yesu akaugeukia mkutano kawambia sijaona Israel hii yote siajaona Imani kubwa kama hii
Walipofika nyumbani kule nyumbani kwa yule Akida walimkuta mtumwa yule tayari keshapona.
Nami kama Akida Bwana ukisema neno tu, Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu (hebu sema neon hee hebu sema neno) Hapa nilipo shida
zangu zitakoma
Yaani kama Akida Bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee Yaani kama Akida Bwana utamke neno tu (hebu sema neno hee hebu sema neno)
Hapa nilipo shida zangu zitakoma,
(Zitakoma shida zangu zitakoma Sema neno) Hapa nilipo shida zangu zitakoma
(Zitakoma shida zangu zitakoma Bwana Sema neno)- Hapa nilipo eeh hapa nilipo
Yesu hapa nilipo eeh Bwana hapa shida zangu zitakoma.
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP
instagramSharePathic_arrow_out