Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
JAPHET ZABRON PHILIP
Songwriter
Emmanuel Zabron Philipo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Marco Joseph Bukulu
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Niko sawa na yesu wangu niko sawa
Siteseki sikondeani niko sawa
Kwani vipi si waona niko sawa
Nafurahi na yesu wangu niko sawa
[Verse 2]
Majira yote niko sawa
Akiwa nami niko sawa
[Verse 3]
Nimechagua kuwa kwa Mungu
Acha niimbe niko sawa
[Verse 4]
Upendo wake Yesu ni mkuu
Mkubwa na kuzidi
Kumbe huyu yesu ni zaidi, ni zaidi
Maishani kaniweka sawa
[Chorus]
(Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa
(Niko happy) niko sawa hee niko sawa
(Si unaona) niko sawa na Yesu (Tena) niko sawa
(Nafurahi) amejibu maombi hee niko sawa
(Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa
(Niko happy) niko sawa hee niko sawa
(Si unaona) niko sawa na Yesu (Tena) niko sawa
(Nafurahi) ametenda tena hee niko sawa
[Verse 5]
Kwa magonjwa yupo yupo nami
Yesu huniponya mawazo hunifariji
Kuna mengi kwake nimeona
Makuu nikaona hakika kanitendea
[Verse 6]
Hata mi nimemchagua yeye
Niko sawa na Yesu, niko sawa na Yesu wangu
Iwe kiu ye ni maji ya uzima
Akinigusa napona niko sawa na Yesu wangu
[Verse 7]
Huyu yesu ni rafiki wa milele wa
Kwa upendo yuko sawa
Nafurahi nampenda anipenda
Ndio maana niko sawa
[Chorus]
(Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa
(Niko happy) niko sawa hee niko sawa
(Si unaona) niko sawa na Yesu (Tena) niko sawa
(Nafurahi) amejibu maombi hee niko sawa
(Nainjoi) niko sawa (Ona) niko sawa
(Niko happy) niko sawa hee niko sawa
(Si unaona) niko sawa na Yesu (Tena) niko sawa
(Nafurahi) ametenda tena hee niko sawa
Written by: Emmanuel Zabron Philipo, JAPHET ZABRON PHILIP