Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
JAPHET ZABRON PHILIP
Songwriter
Emmanuel Zabron Philipo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Marco Joseph Bukulu
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ukihesabu utachoka kuna ya juzi jana leo pia kesho Mungu kafanya
Huku kwetu hakunaga hofu mashaka wasiwasi twajiamini tuko na Mungu
Mimi sio yule wa zamani wa kulia lia Mungu kanitoa huko mi namfurahia
Sasa nimehama kitengo cha kulia lia nimehamia level zingine za kufurahia
[Verse 2]
Aliumba mchana usiku lipi gumu la kumshinda Mungu
Huyu Mungu hufanya zaidi, zaidi ya mtu na mahitaji
[Chorus]
Ametenda mengi kwangu
Hebu subiri na wewe Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu
Subiri, subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Ametenda mengi kwangu
Hebu subiri na wewe (Subiri) Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu
Subiri, subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
[Bridge]
Subiri, subiri
Hee subiri
[Verse 3]
Huku kwa Yesu tukipata shida mateso tunasema na Yesu anatatua
Twashukuru na kuimba sifa zake ni yeye asitahiri kuinuliwa
[Verse 4]
Mungu katufanya tuimbe na kumtukuza
Tuvae tung`ae tuishi na kufurahia
Siwezi mangapi kanisimia
Mipaka nivuke na jina nikamtukuze
[Verse 5]
Kwa tiketi ya jina la yesu hakuna jambo gumu kutushinda
Sifa zake zipande, zipande asante Bwana umeituinua
[Chorus]
Ametenda mengi kwangu
Hebu subiri na wewe Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu
Subiri, subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Ametenda mengi kwangu
Hebu subiri na wewe (Subiri) Mungu atafanya kitu
Usichoke ndugu yangu
Subiri, subiri na wewe huyu Yesu atafanya kitu
Written by: Emmanuel Zabron Philipo, JAPHET ZABRON PHILIP