Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
L.G.
L.G.
Producer

Lyrics

[Intro]
LG iih
LG aah
Aah, ah-ah
[Verse 1]
Ndo nkakuambia ataniacha
Haah, heeh unachekesha sana
Hizo ni ndoto za early night
Haa, heeh anakudanganya
[Verse 2]
Hata umpe nini huning'oi
Unajisumbua mwanaa
Huyo bila mimi hatoboi
Nimemshika pabaya
[PreChorus]
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
[Chorus]
Na nikikukutana (Patachimbika, nitakutia makrisu)
Nitakutikisa
Patachimbika, nitakutia makrisu
Nitakutikisa
[Verse 3]
Kwanza unitwambie umenizidi nini
Kubattle na mimi ujue nawenzako tisini
Uliza uambiwe mimi motto wa nani (Hapa)
Ukijifanya chawa mi mwenzako kunguni (Una nini)
[Refrain]
Huna jipya naenda kwama hohoo
Kikisafishwa labda ndo upate sokoo
Huna jipya naenda kwama hohoo
Kikisafishwa labda ndo update sokoo
[PreChorus]
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
We chezewa ukimaliza kwenda
Hatuachani kisa ujinga
[Chorus]
Na nikikukutana (Patachimbika, nitakutia makrisu)
Nitakutikisa
Patachimbika, nitakutia makrisu
Nitakutikisa
Written by: Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out