Featured In
Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mjini hakuna cha kuokota, ukikiona usiiname
Mjini hakuna cha bure, ukipewa usichukue
Ogopa, ogopa matapeli, hili eneo haliuzwi
Usikojoe hapa, onyo, faini milioni
[PreChorus]
Ka toto ka 2000
Bingwa wa kuamisha, otea ana hamisha nini
Ana hamisha vyombo tukimaliza kula-kula ubwabwa
Ka toto ka 2000
Kalitaka kuuvunja, otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa, anaogopa mende
[Chorus]
Hii bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Hii bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Ah, bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
[Verse 2]
Dar Es Salaam kila bebe iko single, kama tu una Range Rover
Huko Temeke kila mtu mweupe, wote kama wazungu
Dar Es Salaam kila bebe ina shepu, ankali, utavunja shingo
Dar Es Salaam, watoto wote wazuri, 'Take care'
Oya shikamoo, marahaba, achana nayo hiyo kelele
Dar Es Salaam, heshima pesa (Dar Es Salaam, heshima pesaa)
[PreChorus]
Ka toto, ka toto, ka 2000 (Kamefanya je?)
Bingwa wa kuamisha (Mh) otea ana hamisha nini
Ana hamisha vyombo tukimaliza kula-kula ubwabwa
Ka toto ka 2000
Kalitaka kuuvunja, otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa, anaogopa mende
[Chorus]
Hii bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Hii bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama (Bandari salama, salama, salama)
Written by: Marioo