Similar Songs
Lyrics
[Verse 1]
Nakumbuka
Tulipokula shida nawe
Penzi vile kwenye jiji mama
Tukiteseka kule Rongai
[Verse 2]
Na hadi sasa
Hawaamini tunapendana nawe
Ona vile tunafanana nawe
Baby let's enjoy
[Verse 3]
Nakumbuka
Tulipokula shida nawe
Penzi vile kwenye jiji mama
Tukiteseka kule Rongai
[Verse 4]
Na hadi sasa
Hawaamini tunapendana nawe
Ona vile tunafanana nawe
Baby let's enjoy
[Chorus]
Cherie wangu mama
Cherie wangu-wangu baby
Nakupelekea mama
Wakujue kwetu we ndio baby
[Chorus]
Cherie wangu mama
Cherie wangu-wangu baby
Nakupelekea mama
Wakujue kwetu we ndio baby aee
[Verse 5]
Nakumbukaa
Tulipolala chini nawe
Siturungi ndio chai mama
Bila sukari walai
[Verse 6]
Lakini sasa
Nimepata jina na pesa eh
Utakunywa nini ninunue
Baby let's enjoy
[Verse 7]
Nakumbukaa
Tulipolala chini nawe
Siturungi ndio chai mama
Bila sukari walai
[Verse 8]
Lakini sasa
Nimepata jina na pesa eh
Utakunywa nini ninunue
To my ride or die
[Chorus]
Cherie wangu mama
Cherie wangu-wangu baby
Nakupelekea mama
Wakujue kwetu we ndio baby
[Chorus]
Cherie wangu mama
Cherie wangu-wangu baby
Nakupelekea mama
Wakujue kwetu we ndio baby aee