Lyrics

[Verse 1]
Kinda wangu tulia
Usije ukajipa kiwewe
Nakushugulikia
Japo nitapata nielewe
[Verse 2]
Hapa nilipo japo masaibu nazijakazaa
Bila malipo upendo wako nipe bure
[PreChorus]
Mwingine bora zaidi yako sijapata mimi oohh
Nimetembea nafika kwisho sijapata mwingine
Hali na mali unipende mie
Na kama ni kesi acha na iwe
Bora ukinivumilia me
Na imani tutafika weeh yeyee
[Chorus]
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
[Bridge]
Mapenzii
Oohh kupendwaa
[Verse 3]
Mapenzi
Nishaweka kituo gari imefika mwisho
Nakuenzi
Together milele sio kama before
I wanna take you places you’ve never been
I will give you love that you’ve never had
[PreChorus]
Your my lover my honey
My sugar spice and sheri
Your my lover my honey
My sugar spice and sheri
Hali na mali unipende mie
Kama na kesi acha na iwe
Bora ukinivumilia me
Na imani tutafikaa
[Chorus]
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
[Outro]
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
Mapenzi, mapenzi uuh, uuhh, uuh
Kupendwa, napendwa uuh, uuhh, uuh
Written by: James Ntiritu, Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out