Music Video

NIMEPENDA REMIX - Guardian Angel .x. Deus Derrick ft. Sammy G
Watch NIMEPENDA REMIX - Guardian Angel  .x. Deus Derrick ft. Sammy G on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Guardian Angel
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Peter Audiphaxad Omwaka
Peter Audiphaxad Omwaka
Songwriter
Derrick Adem
Derrick Adem
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Mi sijuti, mi sijuti kupata wokovu
Ningali kijana aeeh
Nimepata amani iliyo ya kweli
Amani ambayo sikupata kwingine
[Verse 2]
Mungu nae jivunia si Mungu niliye sikia
Ni Mungu ambaye nimeona akitenda
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa (Aaeeh)
Sioni hasara Mungu ananipenda
[Verse 3]
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa (Aaeeh)
Sioni hasara Mungu ananipenda
[Chorus]
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
[Verse 4]
Kuna changamoto hutokea katika safari ya wokovu
Ila mapito yako yanatendeka kwa wema
Piga simu, pigia rafiki zako simu wote leo
Uwaambie una shida sana unaitaji saupport
[Verse 5]
Ukimaliza pigia na Mungu wako goti kisha nae
Umwambie una shida sana unaitaji support
Hapo ndipo utaona nani anaekujalia
Atakae kusaidia aeeh
[Verse 6]
Kwa Mungu wangu na pata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda
Kwa Mungu wangu napata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda
[Chorus]
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
[Verse 7]
Maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako
Ungali kijana bado una nguvu
Maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako
Ungali kijana bado una nguvu
[Verse 8]
Usijidanganye ati bado ungali kijana
Unavunja mifupa mifupa kuokoka ni uzeeni
Kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa (Aaeeh)
Maisha ni mafupi sana muishie Mungu (Aaeeh)
Kweli kufuka uzeeni siku hizi ni majaliwa
Maisha ni mafupi sana muishe Mungu
[Chorus]
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
[Chorus]
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
Nimependa-penda, nimependa
Nimependa unavyonitembeza
Written by: Derrick Adem, Peter Audiphaxad Omwaka
instagramSharePathic_arrow_out