Similar Songs
Lyrics
Pindi ukicheka we, mi moyo unanitabasamu, huwa mwenye kujihisi mororo
Ila ukilia wee, hata kula nakosa hamu, huwa mwenye kujihisi mdororo
Ukiwa karibu na mie, najiona bora, lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
Uwepo wako we na mie, umetia fora, we ndio dakitari, darling, nikitaka kupona
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Sitamani mwengine, wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto, moto
Labda upite ushetani mwingine, maneno ya watu nishazoea I don't care
Kila kukicha choko, choko, choko
Unavyonipa raha, ndiyo nanenepa mie, penzi lako natinga, naringa nabembea
Kinachokufaaa, usisite niambie, kwako niko radhi hata zege nibebe, machinga nidadishee
Ukiwa karibu na mie, najiona bora, lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
Uwepo wako we na mie, umetia fora, we ndio dakitari, darling, nikitaka kupona
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza
Unaniweza-weza, I do it for love, for love
Unaniweza-weza, for love, for love, I do it for love
Unaniweeeza-weza
Written by: Jux