Music Video

Tukaze Roho - Lava Lava (Official Video) Sms SKIZA 8544996 to 811
Watch Tukaze Roho - Lava Lava (Official Video) Sms SKIZA 8544996 to 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Manster Madness
Manster Madness
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Maisha yangu si ya ki papa
Ni vitembele ya nyanya chungu
Dagaa kurusungu, hummh
Niko chakavu na nimechakaa
Yaani naishi kiMungu-Mungu
Mtetezi wa bunjuu
[Verse 2]
Mjukuu wa binti simba
Okoa mangala
Wa mwisho kitinda mimba
Mwenye elimu uchwara
[Verse 3]
Maisha yalivyo nifilimba
Akanijalia jallah
Nikaanza kuimba
Uniondoke ufukara
Ila bado
[Verse 4]
Kipato changu cha chini nacho kina utata
Hata visenti hamsini kuvipata mashaka
Nalia na umasikini Mungu ashushe baraka
Enyi wezangu na mimi tusikate tamaa
[Chorus]
Tukaze roho (Tukaze roho tusichoke)
Tukaze roho (Mungu wa kwetu sote)
Tukaze roho (Eeh tusichoke)
Tukaze roho (Mungu wa kwetu sote)
[Chorus]
Japo, maisha yenye ya manati
Hatupati kila tukilenga
Kukicha misumari ya bati
Kuku kapenya kwa tenga
[Verse 5]
Kula yetu tu ni wasiwasi
Tutapata wapi ya kujenga
Wa kupiga picha masaai
Kulala mbagala kwa chemba
[Refrain]
Tunaunga unga mwana (Haya ndo mambo yetu)
Hayana tofauti na jana (Ndo maisha yetu)
Wazazi kulala na mwana (Heey)
Chumba kimoja mandoo, masufuria (Wenyewe tushazoea)
[Verse 6]
Kipato changu cha chini, nacho kina utata
Ata visenti hamsini kuvipata mashaka
Nalia na umasikini Mungu ashushe baraka
Enyi wezangu na mimi tusikate tamaa
[Chorus]
Tukaze roho (Tukaze roho tusichoke)
Tukaze roho (Mungu wa kwetu sote)
Tukaze roho (Eeh tusichoke)
Tukaze roho (Mungu wa kwetu sote)
[Outro]
Wanangu wa bodaboda (Tukaze roho)
Kina mama vikoba (Tukaze roho)
Ah rumbesi wabeba virogha (Tukaze roho)
Vijana wezangu (Tukaze roho)
Tutapata tu
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out