Lyrics

[Verse 1]
Ah, speaking from my heart eh, baby
Can I tell you my mind eeh?
Mmh, you know you own my heart eh, baby
Captivated my mind eh aah
[Verse 2]
We ndiye jua langu
Mchana wangu nasubiria
We kivuli changu
Popote nawe natembea
We baraka yangu
Ndo siku zote niombea
Shika mkono wangu
Safari ndefu inangojea
[Verse 3]
Nipende nikupende Tupendane my love
Nibebe nikubebe tubebane
[Chorus]
Sweet darling aah
Darling, sent from heaven
Sweet darling
Mimi ndo chada we pete yangu mama
Darling, sent from heaven
[Verse 4]
Ni wewe muucha wanje, humurikila
Tulivunyisa, iyo atavona
Ona tumekutana hadi tukafaana
Tukapendana hadi tukafanana
Mi' kukupenda ndio yangu taswira
Sweetie-sweetie basi tuwe na subira
[Verse 5]
Malezi yako bora, pia yananifaidi
Yananifanya kujihisi mwenye bahati
Nakupenda saana unajua darling
Mimi na wewe kama pete na kidole
[Chorus]
Sweet darling, darling
Sweet darling, darling
Written by: Kelvin Bahati
instagramSharePathic_arrow_out