Top Songs By Masauti
Lyrics
[Verse 1]
Ninachojua uzee upo
Usichana unakwenda
Ule urembo haupo
Miaka zikienda
[Verse 2]
Je utanipenda nikipata michirizi
Utanipenda kikija nacho kitambi
Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala
Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena?
[Verse 3]
Oh my baby usiwe shaka
Mi mwenzako nakupenda
Ule urembo upo
Ata miaka ikienda
[Verse 4]
Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi
Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi
Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala
Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara
[Chorus]
Keshoo
I hope utanipenda
My baby mpaka kesho
kufa kuzikana mi nawe baby
[Chorus]
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda
Baby mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpaka kesho mpaka keshoo
[Verse 5]
Shahidi yetu Mola
Ile Siku mioyo iliposhikana
Ukanipend nami nkakupenda
Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe
[Verse 6]
Ujana ni moshi
Uko sure na mimi
Tukose udosi
Je utakuwa na mimi
[Verse 7]
For better for worse
Iwe better for us
Hata tukiyumba mama
Tuwe pamoja
[PreChorus]
Mi bado nitakupenda
Kama kipato umekosa
Kesho nitakupenda
hata mgongo ukikunja
[PreChorus]
Hivi utanipenda
Kama mziki ukibuma
Kweli uzeeni utanipenda
Nikipata kiharaa
[Chorus]
Keshoo
I hope utanipenda
My baby mpaka kesho
Kufa kuzikana mi nawe baby
[Chorus]
Mpaka kesho
Niamini ntakupenda
Baby mpaka kesho
Tuzeeke na wewe my baby
Mpaka kesho mpaka kesho mpaka keshoo