Lyrics
Mi si lover boy, in case you don't know
Si lover boy, ooh no
Mi si lover girl, in case you don't know
Sio kama yule demu, ooh no
Na kama njiwa anavyopepea roho yangu unaiilemea
Kasura pia nako ulipokea, naona Mungu kakupendelea
Basi nikumbatie hadharani, unipe ya chumbani
We ni moto oh, we ni moto
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Toka kwa jua njoo kwenye hema
Wamekutesa sana mi ndiye chanda chema
Na wapambe wale wasio penda mema
Wanatuombea vita CCM Chandema
Yaani we moto hauzimi na kwa maneno ya ulimi
Nishasadiki moyo kakupenda tu wewe
Basi nikumbatie hadharani, unipe ya chumbani
We ni moto oh, we ni moto
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Pete yangu, pete yangu
Pete ya, we ni kama pete yangu
Written by: Kelvin Bahati, Mukami Muendo