Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
Fathermoh
Fathermoh
Performer
SEAN MMG
SEAN MMG
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Fathermoh
Fathermoh
Composer
SEAN MMG
SEAN MMG
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Motif
Motif
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Piga smile cheki cam gapi statue
Nakulike nimekumark wee ni tatoo
Dhigidha githinya siaga gwadu
Unabend pause alafu na raru
[Chorus]
Piga aah, piga aah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga aah, piga aah, piga statue
Nakulike nimekumark kama tattoo
[Verse 2]
Simama kete, piga one legee
Tingiza kichwa ni kaa zimeshika gwedhe
Kispaki anguka nayo twendee
Hapa ni kudance kubanju kama daily
[Verse 3]
Usinipigie makofi utachoka
Mikono itauma na utamisi nyingine (Unanijua unaniskia)
Usinipigie makofi utachoka
Mikono itauma na utamisi nyingine (Unanijua unaniskia)
[Bridge]
Uno uno bailando
Umlando (Unanijua unaniskia)
Uno uno bailando
Umlando (Unanijua unaniskia)
[Chorus]
Piga aah, piga aah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga aah, piga aah, piga statue
Nakulike nimekumark kama tattoo
[Verse 4]
Ngoma nayo ni kali unafanya nini ukikaa
Wamebaki wametuseti wakituchoma mavela
Juu train nika isha toka sa itabaki wamehema
Na ati mimi ndio kadere sa itabidii nimehepa
Si ucheki ah
[Verse 5]
Doba ishatubamba unaeza rudia selector
Leo zitashika sana na jo mabebe wamebeba
Moja mbili tatu cheki DJ ashatubua
[Verse 6]
Pull up pull up selector pull up pull up selector
Doba ishatubamba unaeza rudia selector
Leo zitashika sana na jo mabebe wamebeba
Moja mbili tatu cheki DJ ashatubua
Pull up pull up selector pull up pull up selector
[Chorus]
Piga aah, piga aah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga aah, piga aah, piga statue
Nakulike nimekumark kama tattoo
[Verse 7]
See si city girl anaset it for you
Leo uko na pretty girl make breakfast for two
Unanibambia ukiwa juu na unanigandishia miguu
Mi Nikichokeshwa na stool tutamalizia tu kwa pool
[Verse 8]
You want another one come take it from me
Nimebeba motherland si you dig it for me
Si you dig it for me si you dig it for me
Si you dig si you dig si you dig it for me
[Chorus]
Piga aah, piga aah, piga statue
Inua mkono alafu cheza na mguu
Piga aah, piga aah, piga statue
Nakulike nimekumark kama tattoo
Written by: Fathermoh, Marioo, SEAN MMG
instagramSharePathic_arrow_out