Top Songs By Billnass
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Billnass
Performer
MwanaFA
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholas Lyimo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. T Touch
Producer
Lyrics
Hawa rappers wana rap au wanafanya rehersal, mbona kila ngoma diss ama wanafanya mipasho
Ninety nine degrees nikiwashoot tu wanakaa, wanajiita ma MC's na kurap hawajakomaa
Pole kwa marapper fake wanaorap-rap katoon, hii game sasa imechange mtaraprap bafuni
SCuz mnarap-rap kiuni na mnarap bila kubuni, so mtarap sana kapuni
Tena, so mtarap sana kapuni kwako kwa kuhaibuni
Akili zingepimwa uzito msingefika hata gram, badala ya kuwaza kesho eti mpo busy na Instagram
Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV, so usijue sana kama huna hata plan B
Tell dem me no fear no one me no fear no man lakini bado ni one, maana kujuana sana ndo kuharibiana CV
So usijue sana kama huna hata plan B, I say tell dem (Eeh eeh mazoea)
(Waambie wasituzoee kabisa) Mazoea kuzoeanaa, (Waambie wasituzoee kabisa) mazoea kuzoeanaa
(Hatutaki) mazoea-kazoea kuzoeana, (Mi sitaki) mazoea-mazoea kuzoeana
Mwandiko mzuri sio lazima mwana, jua kuandika tu mengine tutaona
Haina mbwembwe sana tuhesabu likizama, inadi pay, kazini muda wa kijinga hatuna
Huu mji mkubwa una vituko wakishangaa waambie wataliwa
Kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako
Usipende amani wakati wa vita, utakufa mapema unafuata yasiyo kuhusu
Kaungane na akina mama ni ajabu na kwere ila longtime me I'm watching, zinaitika kimya I cant see a **** ****
Kila mtu afe kivyake ndo maisha ya mjini, kuzoea-zoea watu mwisho utazoea majini
Tell dem me no fear no one me no fear no man lakini bado ni one
Tell dem me no fear no one me no fear no man lakini bado ni one
(Waambie wasituzoee kabisa) Mazoea kuzoeanaa, (Waambie wasituzoee kabisa) mazoea kuzoeanaa
(Hatutaki) mazoea-mazoea kuzoeana, (Mi sitaki) mazoea-mazoea kuzoeana
Written by: William Nicholas Lyimo