Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Songwriter
Juma Mkambala
Composer
RAYMOND MAZIKU
Composer
SALMIN MAENGO
Composer
Lyrics
[Intro]
Yo-yo, you're so fine
Babe (Hey)
I do this for you
Aah ah, mmh
[Verse 1]
Nahisi, niko kwenye njozi
Huba limenikolea, kuamka sitamani
Tena nakusihi, ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, hoi tahabani (Hoi tahabani)
[Verse 2]
Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu dakitari
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali
Baby nipe taratibu, huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe no, no
[Chorus]
Kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Kwako nitangangana tuu (Nitangangana nawe)
Ah, kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Sababu I love you, yeah
I love you, mmh yeah
[Verse 3]
Naanzaje kukucheat, nakifata kipi?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (Mmh)
[Verse 4]
Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu dakitari
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali
Baby nipe taratibu, huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe no, no
[Chorus]
Kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Kwako nitangangana tuu (Nitangangana nawe)
Ah, kwako nitangangana (Nitangangana nawe)
Sababu I love you, yeah
I love you
Written by: Juma Mkambala, Jux, RAYMOND MAZIKU, SALMIN MAENGO