Top Songs By Barnaba
Credits
PERFORMING ARTISTS
Barnaba
Performer
Alikiba
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Barnaba
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Its all about love baby
This is Barnaba Boy Classic
Yo king, I got the message
I love her, aha
[Verse 1]
Nikupe habari
Tangu nirudi safari
Nikakupata kimwali
Tumeshinda dhohari
Nitazungumza naye Bibi na Babu wataridhia
Siku ya ndoa shela wigi
Mie Kanzu na Jambia
Tumeshinda vizingiti
Wambea hatutishi
Maneno yenu uchafu
Yeye sabuni mie jiki
Mtasubiri mazishi
Sisi bado tunaishi
Utamu wa wali nazi
Ule na parachichi
[Chorus]
Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)
Ayii mama uyoo (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijali (Cheketua)
"Peke peke peke peke...
[Verse 2]
I dedicate this to you babe
My heart is for you babe, the Boss
Love is good baby
[Verse 3]
Nikupee oh nikupee ooh Midola
Arusha na Manyara ama nikupe dawa
Nikupe farahi, nikupe Dinari
Nikupe bahari, samaki waishi mbali
[Verse 4]
Roho zilowapinda waambie ugonile
Ndanga mkyasi wangu woyi woyi woyi
Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi
Utamu wa wali nazi, utafune na ndizi
[Verse 5]
Nahisi mama, asali yangu wee
Aje mama mkwe (Cheketua)
Akupe na zawadi
[Chorus]
Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)
Ayii mama (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijali (Cheketua)
"Peke peke peke peke...
[Chorus]
Peke peke, peke peke peke
Ayii mama (Ayii mama)
Ayii mama waachi waongee (Peke peke)
Peke peke peke
Ayii mama
Tumetoka far a way (Tumetoka far a way)
Barnaba
[Outro]
Tausi ndege wangu (Cheketua)
Ndege wangu wa dhamani (Cheketua)
Ndege uloshika mali (Cheketua)
Na vitu vyangu vya dhamani (Mmh Cheketua)
Mie Adam yeye ndio Hawa (Cheketua)
Nicheke tu mama (Cheketua)
Cheke cheke cheke (Cheketua)
Mmh mmh (Cheketua)
Written by: Elias Barnaba