Top Songs By Barnaba
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
Barnaba
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Ooh mtume roho yangu
Inashindwa kuvumilia
Si kwa mahaba anayonipa
Yazidi mpaka namwagikiwa
Ananipa vinonoo
Mpaka naisi changanyikiwa
Hongera wake somo
Mtoto kafundwa katimilia
Wali kwa maini, maji abdala sini
Na nkirudi nyumbani
Ananiuliza nianze chakula ama mwili
[PreChorus]
Hapo ndo anani (Vurugaga)
Kichwa kina (Niumaga)
Ndo maana nime (Waitaga)
Mnipe ushauri! (Ah! Ah!)
[Chorus]
Hadithi, hadithi (Utamu kolea)
Mwenzenu mimi (Utamu kolea)
Mchumba wangu (Utamu kolea)
Ah, ah sisemi (Utamu kolea)
Hadithi, hadithi (Utamu kolea)
Mwenzenu mimi (Utamu kolea)
Mchumba wangu (Utamu kolea)
Basi usisemi
[Verse 2]
Kanionyesha jua la asubuhi
Linavyo penya kwa dirisha
Na mizungu ambayo sijui
Amenifundisha
Shombo la maa'rani
Amenisafisha
Kama hoi sijitambui
Navyo jibebishaa
[Verse 3]
Hmm kanitunza mahaba
Tamu kutaradad (Ebelebe)
Kibaba baba michezo ya makidakida (Ready, ready)
Tunawakera waja
Mbona mtapata shida
Niwape siri labda
Puto limepata mwiba
[PreChorus]
Ahh ah enh! Nilonge ni silonge (Longa)
Mwenzu me (Longa)
My baby wangu (Longa)
Na mloveee
[Chorus]
Hadithi, hadithi (Utamu kolea)
Mwenzenu mimi (Utamu kolea)
Mchumba wangu (Utamu kolea)
Mh basi sisemi (Utamu kolea)
Hadithi, hadithi (Utamu kolea)
Mwenzenu mimi (Utamu kolea)
Mchumba wangu (Utamu kolea)
Aki usisemi