Top Songs By Walter Chilambo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Walter Godfrey Chilambo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Godfrey Chilambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Godfrey Chilambo
Producer
TML
Producer
Lyrics
Hivi nakupendaje? Hata mwenyewe sijielewi, ninakupendaje? (Namna hii Bwana)
Hivi umenipokeaje? Maana nasikia raha sana, umenipokeaje? (Namna hii Bwana)
I deserve nothing (Nothing), Lord you give me everything
You never disappoint me (Aah-aah), oh Lord in any way
Yaani hata mi nikianguka (Bado), mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya muovu Bwana (Bado), Baba yangu unanivusha (Bado)
Yaani hata nikianguka (Bado), mkono wangu unanishika (Bado)

Tarararira raraa (Jesus your my desire), Tarararira raraa (Your love is on fire)
Tarararira raraa (What did I do, did I do), Tarararira raraa (Nistahili upendo wako wee)
Nami nitatii amri zako Daddy, nifanye safi mwili na Roho Daddy
Usiniache kabisa (Usiniache kabisa), maana kwa wengine mi ni takataka
Kwako mi dhahabu, maana umeniosha mi nawaka-waka
Yaani hata mi nikianguka (Bado), mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya muovu Bwana (Bado), Baba yangu unanivusha (Bado)
Yaani hata nikianguka (Bado), mkono wangu unanishika (Bado)
Kwenye mitego ya muovu Bwana (Bado), Baba yangu unanivusha (Bado)
Tarararira raraa (Jesus your my desire), Tarararira raraa (Your love is on fire)
Tarararira raraa (What did I do, did I do), Tarararira raraa (Nistahili upendo wako wee)
Ninaringa unanipenda (Ah), unanilinda (Ah)
Wanitunza (Ah), eeh Bwana wangu (Ahh)
Nzambe na Ngai (Aah), Shama (Ah), ElShaddai (Aah) oohh (Aah)
Tarararira raraa (Jesus your my desire), Tarararira raraa (Your love is on fire)
Tarararira raraa (What did I do, did I do), Tarararira raraa (Mpaka umenipenda mimi)
Written by: Walter Godfrey Chilambo