Top Songs By Stamina Shorwebwenzi
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Chilambo
Songwriter
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Godfrey Chilambo
Producer
Independent artist
Producer
TML
Producer
Lyrics
INTRO
Oouuuuuuh………!!!!
Eeeeeeee……….!!!!!
Aaaaaaah……….!!!!x2
Verse1
Nikipata kiu baba,ninyweshe maji ya baraka/
Nikipata njaa nilishe sakramenti iliyotakaswa/
Gusa baba,Maisha yangu uyaguse/
Ikibidi nipe fimbo ile ya musa inivushe/
Wangapi walisema kuwa sitokwenda popote/
Chaajabu hapa nilipo wanatamani tuwe wote/
Na wengine walisema kuwa sina lolote/
Chaajabu leo wanaomba hata niwasaidie chochote/
Nimeishapigwa vita vingi vya mikuki na mishale/
Ila sianguki kwao naanguka mbele ya altare/
Haikuwa raisi kufika sio mchezo/
Naitaji pongezi nyingi za ubani wa chetezo/
Brige
Mungu wa mganga ni wewe/
Wa mwizi ni wewe/
Wa mchawi ni wewe/
Wa kila mtu ni wewe/
Hakuna kama wewe Zaidi ya we mwenyewe
Ata hiyo miungu mingine na yenyewe inakuomba wewe/
Chorus
Hakuna kama wewe baba (usiye chagua)
Hakuna ila ni wewe tuh (ninakuamini mungu wangu)
Hakuna kama wewe baba (baba wa upendo)
Hakuna ila ni wewe tuh
Aaaaaoooouuuuh….
Oooouuuuuuuh….
Aaaaaaaaah……
Aaaaah!
Verse2
Nikupe nini bwana maaana navyoomba vyote unanijibu/
Ata Khadija akikukopa unamlipa kwa utaratibu/
Mimi ni nani mbele yako mpaka nishindwe kushukuru/
Unanipa pumzi ya bure bila kuilipia ushuru/
Usinitoe kwa damu yako takatifu wa roma/
Bali niokea na hii vita ya gomola na sodoma/
We ni alfa baba,tena alfa na omega/
Japo sikumoja moja kanisani huwa natega/
Unapoona napotea ona unanikumbusha misa /
Kama haitoshi umeweka msikiti na kanisa/
Na sio shekh tu,umenipa na katekista/
Baba unatenda haki haki sawa na masista/
Bila wewe sizani kama ningeijua biblia/
Wala msahafu sizani ningeusujudia/
Sina cha kukulipa japo kuwa haukopeshi/
Ata ukinikopesha siwezi kulipa kwa cash/
Brige
Mungu wa mganga ni wewe/
Wa mwizi ni wewe/
Wa mchawi ni wewe/
Wa kila mtu ni wewe/
Hakuna kama wewe Zaidi ya we mwenyewe
Ata hiyo miungu mingine na yenyewe inakuomba wewe/
Chorus
Hakuna kama wewe baba (mtetezi wa wanyonge)
Hakuna ila ni wewe tuh (usiye badirika baba)
Hakuna kama wewe baba (hakuna kama wewe)
Hakuna ila ni wewe tuh (hakuna kama wewe)
Hakuna kama wewe baba (unayetoa kibali)
Hakuna ila ni wewe tuh (unayeponya bwana)
Hakuna kama wewe baba(unanishindia vita yangu)
Hakuna ila ni wewe tuh
Outro
Mungu wa mganga ni wewe/
Wa mwizi ni wewe/
Wa mchawi ni wewe/
Wa kila mtu ni wewe/
Hakuna kama wewe Zaidi ya we mwenyewe
Ata hiyo miungu mingine na yenyewe inakuomba wewe/
Written by: BONVENTURE ELIUTER KABOGO, Walter Godfrey Chilambo