Lyrics

[Verse 1]
Macho yangu hayana pazia
Yamekuona wewe
Mchumba wewe
Moyo wangu ushakuzimia
Nakupenda wewe, mpenzi wewe
[PreChorus]
Nasi unajua beybe tukifa ni peponi
Mabaya siyaoni
Wee hauna dhambi
Kama ukiniacha mwenzako bila wewe
Imani itanitoka siunajua nakutii
[Chorus]
Naapa kwa shida
Na raha mi na wewe
Naapa kwa shida
Na raha milele
[Verse 2]
Basi tuyafanye marudio
Mechi langu tulio
Nipe lako sikio
Nakupenda jamani
[Verse 3]
Na siunajua moyo wangu
Haukuwahi kuuguza kidonda
Ikitokea radhi ntakuomba
Mi mwenzako nakupenda penda
[Verse 4]
Au labda mali zangu nkupe moyo wako
Kile kitu unapenda
Moyo wako nini unapenda
Nikotayari nitatenda-tenda aah
[PreChorus]
Nasi unajua beybe tukifa ni peponi
Mabaya siyaoni
Wee hauna dhambi
Kama ukiniacha mwenzako bila wewe
Imani itanitoka siunajua nakutii
[Chorus]
Naapa kwa shida
Na raha mi na wewe
Naapa kwa shida
Na raha milele
Written by: Juliet Miriam Ayub
instagramSharePathic_arrow_out