Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Performer
Jux
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Songwriter
Lyrics
Ayayaya, am so drunk hunnie
Ayayaya, am so drunk baby
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love (Nimelewa)
In love, am drunk in love (Nimelewa)
Ah katoto kasupu ka Nakuru
Katoto ka Duchu kana nuru
Katoto ka Kenya kwa Uhuru
Niseseme mengi nitakufuru
Naweweseka kinoma (Nasema kinoma)
Palipochanika amepashona
Tilalila, nimelewa
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love (Nimelewa)
In love, am drunk in love (Nimelewa)
Ah, kwani umeweka busu gani kwa mapenzi mama
Una shepu nzuri tena wanikata maini
Sikuwahi jua kuna mapenzi ya kweli mama
Till nikakupata yeah, yeah, yeah
Oh I thank the Father
Tilalila, nimelewa
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Baby mi nimelewa kwa mapenzi yako mi nimelewa
Kwa mapenzi nimelewa, am drunk in love
In love, am drunk in love
In love, am drunk in love
Sikuwa jua, ipo siku ningemuona malaika kwa macho
Until nikakuona baby oh
Mara moja ukanilewesha
Hako ka-touch kako gentle, ka-smile kako simple
Tilalila, nimelewa
Ooh nimelewa, baby mi nimelewa
Ooh nimelewa, baby mi nimelewa
Ooii fire, ooii fire
Ooii fire, ooii fire
Owouwo liar, owouo
Written by: Wilson Ouma