Top Songs By Walter Chilambo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Walter Chilambo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Chilambo
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Iyee, iyee, iyee iyee
Iyee, iyee mmhh
Mmhh
[Verse 1]
Maisha yangu yana wewe Mungu
Tumaini la moyo, kwako mi' nimeliweka
Msaada wa karibu, Bwana
Nitakusifu wewe tu, na nanitakutuza
[Verse 2]
Nitapolemewa na mizigo
Magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti Bwana
Gongo lako na fimbo yako vinanifariji Bwana
[Verse 3]
Umenifanya wa thamani, umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbii, ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, umenibariki
[Chorus]
Only you (Only you)
Only you (Jesus)
Elishadai (Only you)
Oh yeah (My God)
Adonai (Only you)
Only you Jesus (Jesus)
Ni wewe unanitoa dhambi (Only you)
Ni wewe unaefaa (My God)
Only you
[Verse 4]
Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe
Bali bwana upima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafahamu naweza kujiona watakatifu
Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu
[Verse 5]
Tujinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele
Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa, anaokoa halo, halo, halo
Kwangu ni mwaminifu huyu Yesu
[Verse 6]
Nitapolemewa na mizigo
Magonjwa na mateso sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti Bwana
Gongo Lako na fimbo yako vinanifarijii Bwana
[Verse 7]
Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni
Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki
Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri
Niliyekuwa sifai, ukanibariki
[Chorus]
Only you Jesus
Simba wa yuda (Only you)
Only you (My God)
Hakuna kama wewe (Only you)
Nitang'ang'ana na wewe (Jesus)
Jesus (Only you)
Ni wewe pekee yako tu (My God)
Eehh (Only you)
Baba wa huruma ehh (Jesus)
Mwingi wa rehema ehh (Only you)
Hakuna kama wewe (My God)
Mwenye kutoa buree (Only you)
Unayetupenda (Jesus)
Aah eeh (Only you)
Yesu wangu (My God)
Baba yangu
Written by: Walter Chilambo