Featured In
Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Vocals
Weasel
Vocals
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Trone
Producer
Lyrics
Kimaso-maso (Aah), umenifuta machozi, umenifuta jasho (Aah)
Nimesahau machungu, naenjoy kwako (Aah), niko dunia nyingine
Nitachonga barabara ya mapenzi nipite nawe, iwe imara-imara kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba sana sala kwa Mwenyezi nizikwe nawe, unang'ara ng'ara mbalamwezi sa acha ni mine
Oh my God, I feel so lucky to have you in my life
Oh my love you are the blessing brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe together for life
Unapendeza sana-sana (Zue, Zuena), unanimaliza sana-sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena), Zuena oh I love you (Zue, Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena, aah Zuena, Zue, Zue, Zue, Zuena
Kanitoa bahari ya kusi kanileta mashariki (Zuena)
Huyu sungura, mwenye nyeupe nyusi hizi mbichi haziliki (Zuena)
Nikupindue-pindue kama nageuza samaki (Samaki)
Wasiojua wajue nimekupenda sikuachi
Umukwano Zuena (Zuena) Zuena
Omulundi Zuena (Zuena) Zuena
Oh my God, I feel so lucky to have you in my life
Oh my love you are the blessing brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe together for life
Zuena
Unapendeza sana-sana (Zue, Zuena), unanimaliza sana-sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena), Zuena oh I love you (Zue, Zuena)
I'm addicting mum, fallin' for your love my heart twisting
Ulinga ka suti blue Bueno na mukwano interesting
Chungu la macho mama, wanauliza mbona unanipenda
Wanna put a ring on your finger, wajua wanasema vita si ya mjinga
Maisha wawili, si tujutatenda
Zue, Zuena, Zue, Zuena, Zue, Zuena
Unapendeza sana-sana (Zue, Zuena), unanimaliza san-sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena) I love you Zuena
Zuena oh I love you, (Zue, Zue, Zuena) I love you Zuena
Zuena, Zue, Zue, Zue, in everything you do do do
I love you, boo, boo, boo, you are my Zue, Zue, Zue
I mean Zue, Zue, Zue, you are my boo, boo, boo
Written by: Rayvanny