Music Video

Cheed - Wandia (Official Music Video)
Watch Cheed - Wandia (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Cheed
Cheed
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rashidi Daudi Mganga
Rashidi Daudi Mganga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

Lyrics

Wandia eh, Wandia oh nina dukuduku rohoni, Wandia eh, Wandia oh nisikilize makini
Namiliki bodaboda penye nia (Pana njia boo), vidogo vimbogamboga najua unaumia vumilia tu
Vishilingishilingi vibanie eh come on, kopa kwa Mangi viunga robo tule come on
Penzi nitalipopo, yamkini sitoi boko
Nitalilinda nitakesha (Popo), tuuze bamia huku tukilala (Fofo)
Usije shindwa vumilia mwendo wa pole (Pole)
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto (Pole)
Hali yetu vumilia ndo changamoto (Pole, pole)
Iweni juani,kivuli, baridi na joto (Pole), baby pole, pole
Tunajidunduliza, maisha yetu duni, oh duni, na ninakusisitiza uweke kibubuni, bubuni
Hata kwa debe la karanga ni muhimu kujipanga, zawadi vitenge vikanga penzi letu kulijenga ah
Milima mabonde twapita, chonde usije zima taa, tone na tone ndo hujaza litre, don't feel eh
Kwa penzi letu roho zawapwita, mama mapenzi vita, analopanga Mungu lapita, don't feel eh
Wangu my boo my love, twende kidogo-dogo (My love)
Kidogo my love twende kidogo-dogo my love
Penzi nitalipopo, yamkini sitoi boko, nitalilinda nitakesha (Popo), tuuze bamia huku tukilala (Fofo)
Usije shindwa vumilia mwendo wa pole (Pole)
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto (Pole)
Hali yetu vumilia ndo changamoto (Pole, pole)
Iweni juani,kivuli, baridi na joto (Pole), baby pole, pole
Written by: Rashidi Daudi Mganga
instagramSharePathic_arrow_out