Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jovial
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juliet Miriam Ayub
Songwriter
Lyrics
Hata ukiandika jina itakuwa nafuu bila hata kuposti
Mi ntaridhika baba we ndio langu koti
Ntashinda njaa nikupe ule misosi sosi
Usipoonyesha kunijali baby moyo utauma
Maana maumivu kwangu sio sawa
Ukiniadhubu uuh uuh
Nina huu wivu hatari fire
Tena wa aibu
Nakupa simu yangu upokee
Waambie we ndio my baby
Na uwawashie cheche wasitusumbue
Katika hali zote nataka niwe na wewe tu
Moyo utakasike
Njoo tucheze, baishoo shoo
Baishoo baby, baishoo shoo
Kale kamchezo ketu ka
Baishoo shoo, baishoo baby
Baishoo shoo hadi watushangae
Wakituma message uwajibu
Nimekuruhusu, waambie vile upendavyo kujibu baby
Nikipata maradhi we ndio tabibu baby nitibu
Kama vile upendavyo kutibu baby
Tungekuwa njiwa tungeruka tuwafunze
Kwamba mi bawa lakushoto, we la kulia
Wanajifanya wanajua hawajui
Penzi letu moto hata tukifulia
Nakupa simu yangu upokee
Waambie we ndio my baby
Na uwawashie cheche wasitusumbue
Katika hali zote nataka niwe na wewe tu
Moyo utakasike
Njoo tucheze, baishoo shoo
Baishoo baby, baishoo shoo
Kale kamchezo ketu ka
Baishoo shoo, baishoo baby
Baishoo shoo hadi watushangae
Written by: Juliet Miriam Ayub