Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Phina
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sarah Michael Kitinga
Sarah Michael Kitinga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Wanene Studio
Wanene Studio
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Kanivuruga mmh
Kanichanganya somebody
Jina simtaji
Ila, nampenda mpenda somebody (Eeh)
[PreChorus]
Kifua kajaazia (Huyo mkaka)
Natamani kudandia (Huyo mkaka)
Chumbani tukiingia (Huyo mkaka)
Ana mguu wa bandi (Huyo mkaka)
Natamani kuwaambia (Huyo mkaka)
Mashosti wataniibia (Huyo mkaka)
Anavyoipenda tabia (Huyo mkaka)
Nampa yote anasinzia (Aah)
[Chorus]
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Yeeh)
[Verse 2]
Nina mengi, sijasema
Jinsi ananitekenya
Anavyonipa mapema
Usiku ananipa tena
[Verse 3]
Sa niwambie penzi tamu
Akiniita wangu wangu
Leo nimekupa offer use kwangu
Namkuta kachanwa miguu juu
[Verse 4]
Huku nyuma kajaazia
La ukweli sio bandia
Na chumbani tukingia, ah
Natamani nipatiaga
[PreChorus]
Natamani kuwaambia (Huyo mkaka)
Mashosti mtaniibia (Huyo mkaka)
Anavyoipenda tabia (Huyo mkaka)
Nampa yote anasinzia (Aah)
[Chorus]
Manu (Manu, manu)
Manu (Ooh manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Manu (Manu, manu)
Manu (Nayafurahia manu)
Written by: Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out