Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Adam Berry
Adam Berry
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adam Berry
Adam Berry
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kheyzone
Kheyzone
Producer

Lyrics

Leo acha nikutonye my darling kweli kakuumba alie juu
Sitaki uwe mbali yawe majuto
Nafurahi umeridhika na hii hali
Haubabaishwi na vya watu
Na wewe unajua ni mapito
Baby am gonna do
Chochote tu
Wazi usiumie
Wajua ni wewe tu
Na utabaki juu
Unanifanya onhooooo
Hautulii moyo wangu ukimuona
Nawaza msemesha
Mwenzenu yani Mimi hata sijali
Ndo nalisongesha
Moyo wangu Mimi ukimuona
Nawaza msemesha
Mwenzenu yani Mimi hata sijali
Ndo nalisongesha
Baby am mad over you you yuyuyuyuuh
Baby am addicted to you you yuyuyuuh
Nawaza wapi nimekutoa
Unajua maana Ya upendo
We daktari dozi Tiba ya Mtima
Hivi hivi tulivyo tunaendana tunaendana
Baby wanikosha roho sana tunapendana
I wanna beloved nawe best
Nikiwa nawe naona dunia ni nyepesi
Kukuacha sidhani kila nikitest
Kuwa mbali nawe nashindwa
Sema unachotaka chochote niwe nawe milele
Sema unapotaka popote niende nawe baby
Hautulii moyo wangu ukimuona
Nawaza msemesha
Mwenzenu yani Mimi hata sijali
Ndo nalisongesha
Moyo wangu Mimi ukimuona
Nawaza msemesha
Mwenzenu yani Mimi hata sijali
Ndo nalisongesha
Baby am mad over you you yuyuyuyuuh
Baby am addicted to you you yuyuyuuh
Written by: Adam Berry
instagramSharePathic_arrow_out