Music Video

SAFARI YA WANA ISIRAELI // MSANII MUSIC GROUP // SKIZA 5437494 To 811
Watch SAFARI YA WANA ISIRAELI // MSANII MUSIC GROUP // SKIZA 5437494 To 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Samson Kibaso
Samson Kibaso
Songwriter
Joash Nyamongo
Joash Nyamongo
Songwriter
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Producer

Lyrics

Safari ya wanaisiraeli, Farao kauliza mnakwenda Kanani, tunaondoka na watoto wetu wote, je wewe ndugu leo waenda na nani
Safari ya wanaisiraeli, Farao kauliza mnakwenda Kanani, tunaondoka na watoto wetu wote, je wewe ndugu leo waenda na nani
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tunechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tunechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
Dunia leo inatuuliza, hizi raha zote mnamuachia nani
Mbona mwaishi maisha ya dhiki shida, nasi twasema hayo yote ya kitambo
Dunia leo inatuuliza, hizi raha zote mnamuachia nani
Mbona mwaishi maisha ya dhiki shida, nasi twasema hayo yote ya kitambo
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tumechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tumechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tumechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
(Tunakwenda) Sisi na jamaa zetu sote
(Twaondoka) Dunia hii sio kwetu
(Tumechoshwa) Tumechoshwa na tabu zake
(Tunakwenda) Tunakwenda juu mbinguni
Written by: Joash Nyamongo, Samson Kibaso
instagramSharePathic_arrow_out