Music Video

Mbosso Ft Diamond Platnumz - Karibu (Official Audio)
Watch Mbosso  Ft Diamond Platnumz - Karibu (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Lead Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Ishafika saba-saba tunakungojea
Imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea
Tuna shauku na bashasha ya kukupokea
Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea
Mmh!
[Verse 2]
Imani yangu inanituma
Unanisikia baba yoo (Baba yooyoo)
Na furaha yangu dongo kumung'unya
Anapobugia mama yoo (Mama yooyoo)
[Verse 3]
Mm! Dalili wazi wazi kwa muda usha tawakala
Natamani useme zawadi ila acha ninunue vigari
Ooh kuna shangazi kibiti kwa mzee kikali
Ukiota meno ataleta viazi ule mihogo uwe ngangari
Ule mihogo uwe ngangari
[Chorus]
Kwanza nitakupa jina gani (Talala, talala, lala talala)
Kwanza karibu duniani baba (Talala, talala, lala talala)
Kwetu furaha isiyo kifani (Talala, talala, lala talala)
Ila kuna mengi duniani baba (Talala, talala, lala talala)
[Verse 4]
Mmh! kwa furaha niliyonayo
Ningechinja ng'ombe kwa tambiko
Ila baba yako uwezo sina pokea uji kwa kijiko
Pokea mwanangu (Ai yoyo)
Tena uwape na habari waropokaji wapambe
We ni wangu wa halali wasije zani vya Nyange
[PreChorus]
Dunia ni mafuriko mvua kwote (Wanadamu mioyo ya matope)
Ukitukanwa mwiko usiogope (Jikaze mwana wa Dangote)
Ooh wasimuone (Kimasomaso wasimuone)
Wenye jicho la chuki wasimuone mwanangu (Kimasomaso wasimuone)
Ooh, wasimuone (Kimasomaso wasimuone)
Wenye roho mbaya wasimuone (Kimasomaso wasimuone)
[PreChorus]
Sa ringisha tumbo ringa, sa baby ringa
Waonyeshe ringa, wadolishie ringa
Sa ringisha tumbo ringa, oh baby ringa
Wao si wanazitoa ringa, asa wadolishie ringa wakuonee oo
[Chorus]
Nitakupa jina gani (Talala, talala, lala talala)
Karibu duniani baba (Talala, talala, lala talala)
Kwetu furaha isiyo kifani (Talala, talala, lala talala)
Ila kuna mengi duniani baba (Talala, talala, lala talala)
[Outro]
Ndo namnyema mwanangu (Aiyoyo kwa baby shower)
Ooh rafiki kwa ndugu zangu (Aiyoyo kwa baby shower)
Furaha na uzazi wangu (Aiyoyo kwa baby shower)
Naringa ringa na mwanangu (Aiyoyo kwa baby shower)
Aiyoyo kwa baby shower
Aiyoyo kwa baby shower
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out