Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafia
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Umeniweza baba, umeniweza mama
[Verse 2]
Tulivuka viunzi pamoja kwa kushikana mikono
Ukawa upande wangu mwili mmoja Hatukuishia kwenye midomo
Shida matatizo tulivuka pamoja
Haukunitupa mkono
Ukanifunza mapenzi njia moja
Michepuko ina vikomo
[Verse 3]
Hukupagawa na hili jibu kati yaani
Tamaa hukuipa nafasi yaani
Ukanitia moyo nitapata nami
Kwani ridhiki mtowaji maanani
[Verse 4]
Hukupagawa na hili jibu kati yaani
Tamaa hukuipa nafasi yaani
Ukanitia moyo nitapata nami
Kwani ridhiki mtowaji maanani
[Verse 5]
Nijivunie nani kama si wewe
Mengine sitamani vyote napata kwako wewe
[Verse 6]
Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee unaniweza
Ooh kama mboga na kombeleza
[Verse 7]
Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee umeniweza
Ooh ukinishika najilegeza
[Verse 8]
Umeniweza baba, umeniweza mama
Ooooh
[Verse 9]
Tabasamu mpenzi wangu tujenge family
Sasa Uwe baba wa wanangu nikuzalie mapacha
Una kisu kikali, kula nyama usijali
Si unajua silali, bila kufika safari
Tule chumvi na tuufike uzee
Wa minya minya nyanye tuwapuuze
Kabla kulala unipigie zeze
Kitandani linibembeleze
Nijivunie nani kama si wewe
Vingine sitamani vyote napata kwako wewe
[Verse 10]
Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee unaniweza
Ooh kama mboga na kombeleza
[Verse 11]
Ooh unajua kunichombeza
Ooh hodari wa kubembeleza
Ooh wewe pekee umeniweza
Ooh ukinishika najilegeza
[Verse 12]
Kunichombeza
Kubembeleza
Umeniweza
Kama mboga na kombeleza
Kunichombeza
Kubembeleza
Umeniweza
Ukinishika najilegeza
Written by: Ismail Juma