Credits

PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma
Ismail Juma
Songwriter

Lyrics

Kwako mi sijiwezi, mpenzi nimekufa kioja
Umenifunga-funga, kujinasua siwezii
Umenifungia hirizi ya mapenzi kwako sitoki tenaa maiyoohuoh
Siku zinajongea aah, masaa yanakimbia kuwania, mbingu yasubilia yetu ndoa, mi nawee
Ila penzi lanionea aah, kwako mnyonge mi mithili ya njiwa ah
Ila tavumilia japo moyo unaumia
Imani yetu moja najua, wivu tuu wanisumbua, uuh mepambwa kwa maua wewewe
Imani yetu moja najua, wivu tuu wanisumbua, uuh mepambwa kwa maua wewee
Ila mazoea na wanaume nahofia, japo mi ndo kidume kwako naumia, mi simba dume na kwako mnyonge
Ooh mazoea na wanaume nahofia, japo mi ndo kidume kwako naumia, mi simba dume na kwako mnyonge
Hiki kidudu mapenzi, kishanitafuna sijiwezii, kukukosa bora kitanzi, hukumu yako naingojea
Nipe amani kipenzi, mapenzi ya hofu siyawezi, vyengine vipanya road, roho yangu naihofia aah
Usiudonyoe moyo (Donyo-donyo), nitaja kufa kiroho (Onyo), usinipe mifupa kibogoyo (Oyo-oyo) mwenzako mi nna kasoroo
Usiudonyoe moyo (Donyo-donyo), nitaja kufa kiroho (Onyo), usinipe mifupa kibogoyo (Oyo-oyo)
Imani yetu moja najua, wivu tuu wanisumbua, uuh mepambwa kwa maua wewee
Imani yetu moja najua, wivu tuu wanisumbua, uuh mepambwa kwa maua wewee
Ila mazoea na wanaume nahofia, japo mi ndo kidume kwako naumia, mi simba dume na kwako mnyonge
Ooh mazoea na wanaume nahofia, japo mi ndo kidume kwako naumia, mi simba dume na kwako mnyonge
Ila mazoea na wanaume nahofia, japo mi ndo kidume kwako naumia, mi simba dume na kwako mnyonge
Usiudonyoe moyo (Donyo-donyo), nitaja kufa kiroho (Onyo), usinipe mifupa kibogoyo (Oyo-oyo) mwenzako mi nna kasoro (Oyo-oyo)
Usiudonyoe moyo (Donyo-donyo), nitaja kufa kiroho (Onyo), usinipe mifupa kibogoyo (Oyo-oyo) mwenzako mi nna kasoro
Written by: Ismail Juma
instagramSharePathic_arrow_out