Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Abdukahal Ibrahim
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Natamani niandike barua na niitume kwako
Ila nahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona, utaikataa
[Verse 2]
I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia
[PreChorus]
Imagine siwezi kukuota (Aah-aah-aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aah-aah-aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
[Chorus]
Mpaka kesho (Eh, eeh-eeh), mpaka kesho
(Umeniganda mawazoni) Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mpaka kesho (Yaani mawazo kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona pachungu)
Mpaka kesho (Mateso nihurumie) Bado nakuwaza
[Verse 3]
Nishajaribu kudanga nipoteze mawazo, huenda nitaenjoy
Kumbe najivua utu na heshima
Kwa watabibu waganga, nijue nini chanzo, mwenzako nipo hoi
Ama nyota yangu butu, makali sina
[Verse 4]
Eeeh, zile nadhiri kwamba utaniweka moyoni zinajirudia
Mie ndio moja we mbili, mbona sasa sikuoni, umenikimbia
[Bridge]
(Mie mwenzako ka sabuni kichelema) Siezi ata kupangusa ah ah
(Jeraha la penzi nachechema), sina furaha ata ya kunusa ah ah
(Yaani umeniacha dilemma), siwezi kupanda kushusha ah ah
(Yaani mapenzi vitaa, CCM na Chademaa), Firauni na Musa ah ah
[PreChorus]
Imagine siwezi kukuota (Aah-aah-aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aah-aah-aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)
[Chorus]
Mpaka kesho (Eh, eeh-eeh), mpaka kesho
(Umeniganda mawazoni) Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mpaka kesho (Yaani mawazo kizunguzungu)
Mpaka kesho (Insta napaona pachungu)
Mpaka kesho (Mateso nihurumie) Bado nakuwaza
[Outro]
Wa kumove on nitakuwa mie (Ooh siwezi)
Yaani ipite siku nisikufikirie (Ooh siwezi)
Kuku unfollow nitaweza mie? (Ooh siwezi)
Kwenye page yako nisichungulie eeh (Ooh siwezi)
Written by: Rajabu Abdukahal Ibrahim