Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Phina
Phina
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Composer
Sarah Michael Kitinga
Sarah Michael Kitinga
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Sound Boy
Sound Boy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mtoto wa kike punguza sifa, unavyojituma hadi unatoa mishipa
Wana ni wangu ila unavyojipindisha, viuno ni vingi chunga isije katika
Hujui kama tuko kwenye ndoa, au umepanga kunikomoa
Unavyomganda hadi unaboa, na una waganga kila mkoa
[Verse 2]
Anakusifia kiuno na unavyotoa miguno
Wake mfano sugunyo, hadi unasahau kurudi nyumbani
Una mafuta na asali, ukipandaga hushuki una hatari
Uvunguni juu ya dari, leo nimekufuma hui show utakubali
[Chorus]
Mchepuko, mchepuko we
Mchepuko nichie baby wangu
Mchepuko, mchepuko we
Mchepuko we hebu muache mume wangu
[Chorus]
Sa nisikilize bibi (Koma), simu za usiku zimezidi (Koma)
Unajifanya Beyonce wa kijiji (Koma)
Eti una viuno vya Shakira eeh (Koma), hujui unanitia hasira eeh
Ntakukata shingo
[Verse 3]
Baby hasira hasara
Usikunje ngumi acha kuchimba mikwara
Huyu anaitwa Sara, mtoto wa dada kutoka Mbezi Kimara
Basi punguza papara
Viwembe vya nini umyoe mwenzio kipara
Wanawake wawili msala
Nimejua nini kilimshinda Manara
Ii si wanaume (Hey), si wanaume (Hey)
Sio wasaliti mnatusingizia
Si wanaume (Eh) si wanaume (Eh)
Ni vishawishi ndo vinatuzingua
[Verse 4]
Baby acha basi minuno, unataka vunja mtu kiuno
Kuchwa visa sio mifumo, usije kuua uende gerezani
Umechafukwa una makali
Mama usinimwagie tindikali
Hiyo bunduki ni hatari, ona mtoto wa kike huogopi serikali
[Chorus]
Mchepuko, mchepuko we
Mchepuko nichie baby wangu
Mchepuko, mchepuko we
Mchepuko we hebu muache mume wangu
[Chorus]
Sa nisikilize bibi (Koma), simu za usiku zimezidi (Koma)
Unajifanya Beyonce wa kijiji (Koma)
Eti una viuno vya Shakira eeh (Koma), hujui unanitia hasira eeh
Ntakukata shingo
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa, Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out