Music Video

Abdukiba feat Alikiba - Kidela (Official Music Video)
Watch Abdukiba feat Alikiba - Kidela (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
AbduKiba
AbduKiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdulkarim Salehe Kiba
Abdulkarim Salehe Kiba
Songwriter
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Songwriter

Lyrics

Wangapi walikuwepoo
Chunga Sana
Tunao, Hatunao Tena
Muuogope Mungu. {kidela}
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope Mungu. {kidela}
Duniani mapitooo. {kidela}
Mbele kuchunguu. {kidela}
Weee chunga sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Teenda wema uwendeezakooo usingoje malipoo
Hii dunia sio yako woooo woooo. {kidela}
Kuishiii nawe miakaa yoote sisi kama ndugu zaaako
Ukaiaibishaaaa nafsi yakoo woooo wooo {Kidelaa}
Binadam aonekani mwema paka wema wayasemeee mema
Kutulipa yakoo mema uliosema kwetu si mema
Kutusemaa kila koona unayookwenda sisi si wema
Kuishii nawe miakaa yootee tulichovuna nawe ulivuna
Hii Dunia si mbayaa (kidela)
Walimwengu ndio wabaya (kidela)
Hii Dunia si mbaya (kidela)
Binadam Wabaya
Muuogope mungu. (kidela)
Dunian mapitooo. (kidela)
Mbele kuchunguu (kidela)
We chungaaa sana
Muuogope mungu (kidela)
Duniaa mapitooo (kidela)
Mbele kuchunguu. (kidela)
Weee chungaaa sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Jeuuriii Ya nini Soteee tuko chini ya jua
Ubabe wa nini hata we pia umezaliwa
Ungejizaaa mwenyewe Hapo sure
Kijana chunga sana
Kamaaa we Mnyama me Mnyama pia
Zaaa wako Umpangiee sheriaa
Binadam haonekani mwema Mpaka wema Wayasemee mema
Kutulipa yako Memaa uliofanyaa kwetu Si memaaa
Kuiishi Nawee Miakaa yootee Tulichovuna Nawee ulivuna
Hii Dunia Si mbayaa. {Kidelaa}
Binadamu wabayaaa {kidelaaa}
Hii Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguu wabaya
Muuogope mungu {kidela}
Dunian mapitooo {kidela}
Mbele kuchunguu {kidela}
Weee chungaaa sana
Muuogope Mungu. {kidela}
Duniaa mapitooo {kidela}
Mbele kuchungu {kidela}
Weee chungaaa sana
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Azontoo
Wangapi walikuwepoo
Atunaooo Atunaoooo tena
Duniaa mapitoo mapitooo woo woo woo
Dunia yakoo ya moyoniii. Hey
Bebey eh mapitooo woo woo
Dunia ya mollah aye
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwenguuu. {Kidelaa}
Hii. Duniaa si mbayaa {kidelaa}
Walimwengu wabaya
Hii Dunia yawenyewe mwenyewe
Si ya Mtu fulan labda fulani
Duniaa duniaa mapitoo
Duniaa si mbayaa walimwenguu wabayaa
Inauma sana kumizwaaa mtimaa
Inaniuma sana
Kujuaa binadamu waleooo wanavyoishi
Inaumaa sana kubainii utuu
Chungaa sana single long single noumoo
{Kidela} Au Sio
Yeah!
Written by: Abdulkarim Salehe Kiba, Ally Salehe Kiba
instagramSharePathic_arrow_out