Lyrics
[Verse 1]
I say mambo bado (Bado), Kings iko Gado (Gado)
Cheza utakavyo, mashuti ka Ronaldo
Wenye kuchelewa wako kwa doh, mziki kwa roho
Naijionanga komando, ukonga sa ipo juu
[Chorus]
(Mi nachezaje) Ai ndombolo
(Inama inuka) Ai ndombolo
(Usivunje mgongo) Ai ndombolo
(Ndondo) Ai ndombolo
(Ndombolo) Ai ndombolo
(Ndombolo ya solo) Ai ndombolo
(Kwani unachezaje) Ai ndombolo
(Natamani) Ai ndombolo
Hii noma hukai
[Verse 2]
Mama, anacheza ndombolo
Tena kainama nitatoka tomorrow
[Bridge]
Domo zito mi nababaja, mimi nababaja
Domo zito mi nababaja
Mwenzenu mimi nababaja
[Chorus]
(We nachezaje) Ai ndombolo
(Inama inuka) Ai ndombolo
(Usivunje mgongo) Ai ndombolo
(Ndondo) Ai ndombolo
(Ndombolo) Ai ndombolo
(Ndombolo ya solo) Ai ndombolo
(Kwani unachezaje) Ai ndombolo
(Natamani) Ai ndombolo
Hii noma hukai
[Verse 3]
Baby you're my girl, oh baby you're my girl
Baby nipe more nishaonjeshwa nipe more
Wanirusha roho, umeshinda ume-wine
Ukinipa huchoki najiuliza we mtu ama mashine
[Chorus]
(We nachezaje) Ai ndombolo
(Inama inuka) Ai ndombolo
(Usivunje mgongo) Ai ndombolo
(Ndondo) Ai ndombolo
(Ndombolo) Ai ndombolo
(Ndombolo ya solo) Ai ndombolo
(Kwani unachezaje) Ai ndombolo
(Natamani) Ai ndombolo
Hii ngoma hukai
[Verse 4]
Wivu nayo umenikaa nashika love
Ah ukicheza na mwingine utanitoa roho
[Refrain]
Kukutema sitaki-taki (Waninogesha), ah sitaki-taki (Waninogesha)
Kukupenda kindaki-ndaki, (Waninogesha), oh kindaki-ndaki (Waninogesha)
Basi cheza kimadoido, oh kimadoido (Ah, ah, ah)
Bilinge cheza kimadoido , oh kimadoido (Ah, ah, ah)
Basi cheza kimadoido, oh kimadoido (Ah, ah, ah)
Basi cheza kimadoido, oh kimadoido (Ah, ah, ah)
[Chorus]
(Chezaa) Ai ndombolo
(Inama inuka) Ai ndombolo
(Usivunje mgongo) Ai ndombolo
(Ndondo) Ai ndombolo
(Ndombolo) Ai ndombolo
(Ndombolo ya solo) Ai ndombolo
(Kwani unachezaje) Ai ndombolo
(Natamani) Ai ndombolo
[Outro]
Domo zito mi nababaja, mimi nababaja
Domo zito mi nababaja, mwenzenu nababaja
We unachezaje
Ai ndombolo
Written by: Abdukiba Abdukiba, Alikiba Alikiba, K2ga K2ga, Tommy Flavour