Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Mbona kama chama pinzani
Kila siku matatizo
Inaniathiri ndani kwa ndani (Ah-aah)
Naikosa chanjo (Ooh-ooh)
[PreChorus]
Acha visa na sononeko la moyo
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni (Eeh-yeeh)
[Chorus]
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa, sawa (Eeh)
Unikate vipande vipande
Sawa, (I know) sawa (Uuh-uuh)
[Verse 2]
Uishiwi kisirani
Yani kila muda umenuna
Sasa mimi ntaongea na nani (Aah)
I wish ungejua unavyouma
[PreChorus]
Yani bora nilewe
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni (Eeh-yeeh)
[Chorus]
Nimeshika makali mpini wewe (Wewe)
Nasema sawa, sawa (Sawa eeh)
Unikate vipande vipande (Ooh-noo)
Sawa (I know) sawa (Uuh-uuh)
(Sawa sawa sawa)
Nimeshika makali mpini wewe (Eeh-yeeh)
Nasema sawa, sawa (Sawa eeh)
Unikate vipande vipande
Mama sawa (I know) sawa (Uuh-uuh)
Written by: Jux