Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Kool Savas
Kool Savas
Performer

Lyrics

Mtoto mpe funguo za bima, kanitoa bongo nimefika mpaka China
Toto, zipu ka kishungi nimezima, kamenipa lunch nimekula mpaka dinner
Santana-santana (Guitar), kitandani maji-maji yanapambana (Vita)
Kanainama-kanainama (Kanainama), kanavyo iokota kama maua sama
Paka rukwili-kwili sikopeshi (Sikopeshi)
Namlipa mbili-mbili sina break (Sina break)
Nakadudisha mwili kitenesi (Kitenesi)
Kamenikirikiri mara murder case
Asa nionyeshe alichokupa mama
Sugua, sugua, sugua, sugu-sugu-sugu (Mama wee)
Sugua, (Aahahaa), sugua, (Aahahaa), it's Platnumz
Sugua, (Aahahaa), aah zombie, sugu sugu sugu (Tee)
Ungependa pini-pini ama kitoto, nikupe kwa chini-chini ama kwa ngoko
Goli za bini-bini ama kimako, chenga mwilini lini Jonny Boko (Mbrooke)
Udi, udi-udi-udi (Udi), katoto kako gudi-gudi-gudi (Gudi)
Mudi-mudi-mudi-mudi (Mudi), navyo katafuna kama food (Oyaa)
Katoto yani do salale (Eeeh do salale)
Nakapa fishi kambale (Eeeh wa kambale)
Kibidu bidua (Ooh bidua)
Pindu pindua (Ooh pindua)
Yaani naka chimbu chimbua (Ooh chimbua)
Nambandika bandua, yaani kama gaga limekwama kwenye guu
Sugua, sugua, sugua, sugu-sugu-sugu (Mama wee)
Sugua, (Aahahaa), sugua, (Aahahaa), sugua, (Aahahaa), sugu-sugu-sugu (Oya)
Baby, wakiweka unaweka (Weka tuone)
Ukichomoa nachomeka (Weka tuone)
Weka-weka-weka mpaka down (Weka tuone)
Komesha watoto wa town (Weka tuone)
Weka kama unasusa (Weka tuone)
Nisogezee kisambusa (Weka tuone)
Weka-weka-weka mpaka down (Weka tuone)
Nikomeshee watoto wa town (Weka tuone)
Written by: Jux, S2Kizzy
instagramSharePathic_arrow_out