Music Video

Diamond Platnumz - Kizaizai Remix (Official Audio Song) - Diamond Singles
Watch Diamond Platnumz - Kizaizai Remix (Official Audio Song) - Diamond Singles on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Tuddy Thomas
Tuddy Thomas
Producer

Lyrics

[Chorus]
(Kizaizai) Nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai) Yanaumiza
(Kizaizai) Oh, kizunguzungu
(Kizaizai) Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai) Weza gombana na ndugu
(Kizaizai) Rafiki akawa mubaya
(Kizaizai) Kazi ukaona chungu
(Kizaizai) Nyie mapenzi karaha
(Kizaizai) Oh, nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai) Yanaumiza
(Kizaizai) Oh, kizunguzungu
(Kizaizai) Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai) Weza gombana na ndugu
(Kizaizai) Rafiki akawa mubaya
(Kizaizai) Kazi ukaona chungu
(Kizaizai) Nyie mapenzi karaha
Kizaizai
[Verse 1]
Yanaanza kama safari, twende ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari, ukishanasa ndio uponie
Yanaanza kama safari, twende ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari, ukishanasa ndio uponie
[Verse 2]
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia, ila yasikupate
[Chorus]
(Kizaizai) Nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai) Yanaumiza
(Kizaizai) Oh, kizunguzungu
(Kizaizai) Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai) Weza gombana na ndugu
(Kizaizai) Rafiki akawa mubaya
(Kizaizai) Kazi ukaona chungu
(Kizaizai) Nyie mapenzi karaha
(Kizaizai) Oh, nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai) Yanaumiza
(Kizaizai) Oh, kizunguzungu
(KIzaizai) Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai) Weza gombana na ndugu
(Kizaizai) Rafiki akawa mubaya
(Kizaizai) Kazi ukaona chungu
(Kizaizai) Nyie mapenzi karaha
Kizaizai
[Verse 3]
Yanakosesha raha
Yanayima furaha
Una yanakosesha raha, ndu mawazo
Tena yanayima furaha, ila chazo
[Verse 4]
Tena usiombe kupenda, uliempenda ajue
Tena usiomba kupenda, uliempenda ajue
Amani utakosha Karaha jamani
Dunia tena chungu kufa utatamani
[Verse 5]
Eiih
Mungu aliumba dunia na Maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate
Eiih
Mungu aliumba dunia na Maajabu yake
Ya mwenzako sikia, ila yasikupate
[Chorus]
(Kizaizai) Nyie mapenzi yanauma
(Kizaizai) Yanaumiza
(Kizaizai) Oh, kizunguzungu
(Kizaizai) Jama mapenzi mabaya
(Kizaizai) Weza gombana na ndugu
(Kizaizai) Rafiki akawa mubaya
(Kizaizai) Kazi ukaona chungu
(Kizaizai) Nyie mapenzi karaha
[Chorus]
(Kizaizai) Baba na mama watake
(Kizaizai) Chakula tamu ni sumu
(Kizaizai) Mashoga sasa wanafiki
(Kizaizai) Kulala nanyi ni ngumu
(KIzaizai) Eiih, yanauma
(Kizaizai) Tena yanauma sana
(Kizaizai) Oh, na yanauma
(Kizaizai) Oh, yanauma sana
Kizaizai
[Outro]
So mkumbatie, akicheza ucheza nae, akiringa aeende
Mkumbatie, akicheza ucheza nae, akiringa aeende
Mkumbatie, akikata ukate nae, akiringa aeende
Mkumbatie, akikata ukate nae, akiringa aeende
So mkumbatie, akicheza ucheza nae, akiringa aeende
Mkumbatie, akicheza ucheza nae, akiringa aeende
So mkumbatie, akicheza ucheza nae, akiringa aeende
Mkumbatie, akokata ukate nae, akiringa aeende
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out