Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Uh-uh-uh-uh-uh-uh
Ya-he-ya-he-ooh-aaih
Uh-uh-uh-uh-uh-uh
[Verse 1]
Mara ya mwisho mi' na wewe
Kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi kigomaa
Ya-he-ya-he
[Verse 2]
Najua ulinipenda
Ila hukutaka penzi kulilinda -aih
Ungesema mapemaa,ya-he-ya-he
Iliniuma sana
[Chorus]
Mimi, leo niko Dar
Aliyenipenda nishamuoa
Je wataka kumjua, jina aitwa Cinderella
Rudi homu wewe, rudi nyumbani -ihh
Wasalimie Kigoma, wambie nishaoa
Ulinitesa sana, sababu nilikupenda wajuaa
Kijijini kwa bibi Kigomaa, iliniuma sanaa
Mimi leo niko Dar
Aliyenipenda nishamuoa
Je, wataka kumjua, jina aitwa Cinderella
Rudi homu wewe, rudi nyumbani -iih
Wasalimie Kigoma, wambie nishaoa
[Verse 3]
Hakuna ajuae rangi ya kinyonga
Zaidi ya yeye mwenyewe na muumba
Nami najua wewe huwezi ringaa
Beibe, Beibe
Nakuona u mnyonge sana
Nami nilikuwa hivyo kule Kigoma
Usilie kwa uchungu bwanaa
Imekutachi sana
[Chorus]
Mimi leo niko Dar
Aliyependa nishamuoa
Je, wataka kumjua, jina aitwa Cinderella
Rudi homu wewe, rudi nyumbani -ih
Wasalimie Kigoma, wambie nishaoa
Ulinitesa sana, sababu nilikupenda wajuaa
Kijijini kwa bibi kigoma, iliniuma sana
Mimi leo niko Dar
Aliyenipenda nishamuoa
Je, wataka kumjua, jina aitwa Cinderella
Rudi homu wewe, rudi nyumbani -iih
Wasalimie Kigoma, wambie nishaoa
[Verse 4]
Uliniahidi mapenzi, ni kweli ulinitekaa
Kadri siku ilivyozidi, beiby ukanitesa
Mamy, mara uko busy mamy
Mimi mshamba wa mapenzi
Si ndio wakashare nami
Kila ninapokuona, Ninapokuona moyo unazima
Nakumbuka tu Kigoma
Nakosa raha mwenyewe, si unaniona
Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
Mhh mi nachoka haki ya mungu
[Verse 5]
Ingawa ni gangster baby najua machungu
Ningetaka kuwa nawe, ningetaka kuwa nawe
Ningetaka kuishi nawe
Ila tu mimi nimeshabaini
Yeah, hiyo ni true maa
Nishapata mwingine anayenifaa maa yeah
[Chorus]
Ulinitesa sana, sababu nilikupenda wajuaa
Kijijini kwa bibi Kigoma, Iliniuma sana
Mimi leo niko Dar
Aliyenipenda nishamuoa
Je, wataka kumjua, jina aitwa Cinderella
Rudi home wewe, rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma, wambie nishaoaa yeah
Written by: Ally Salehe Kiba