Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Iyanii
Iyanii
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ian Oure Okwemba
Ian Oure Okwemba
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
[Verse 1]
Kila mutima maguu wanajua Konde Boy kaingia
My brother na my sister duu kunyweni bili zote me nitalipia
Olan stress for what stress for who, njoo tugonge glass na mikono juu
Stress for what stress for who, si tunachoma nyasi ona ni moshi juu
[Verse 2]
Kama madeni yapo na hayawezi kwisha
Hizo za kununanuna unayafupisha maisha
Waiter leta me sichagui sibagui (Hayaya)
Ataenizika simjui (Hayaya)
Sisi ni marafiki si maadui, ila bili anayelipa simjui
[Chorus]
Ni furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
[Verse 3]
Peem mperere (Iyanii), pem-pem-pem mperere (Iyanii)
Peem mperere (Iyanii), pem-pem-pem mperere (Iyanii)
Comrades power (Power), comrades power (Power)
[Verse 4]
Kwa sherehe tumefika (Sherehe tumefika)
Kwa sherehe tumefika (Sherehe tumefika)
Familia yako ndani, ndani (Wote tunajibamba)
Marafiki majirani, rani (Wote tunajibamba)
I am happy today
So happy
I am happy today
So happy
Ju sisi ni walevi
Sisi ni walevi
Tunapenda kamnyweso
Tunapenda kamnyweso
Sisi ni walevi
Sisi ni walevi
Tunapenda kamnyweso,
Tunapenda kamnyweso
[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
[Bridge]
Aii-ih, mnanibamba mbaya, ah wote
Tiki (Taka) tiki (Taka) tiki (Taka)
Tiki (Taka) tiki (Taka) tiki (Taka)
[Chorus]
Ni furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Ni furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Written by: Ian Oure Okwemba
instagramSharePathic_arrow_out