Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor, danga, wachune komesha viranga
Basi vimba, tamba, block. Wakikuchamba
[PreChorus]
(Oh lalala) cheusi mangala, Wakanda (Oh lalala)
Tukale sangara, wa Mwanza (Oh lalala)
Nywele chotara kinanda (Oh lalala)
Ghetto papara misamba
[Chorus]
Chombo, chombo, chombo, kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo, kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo, mechi chumbani sebuleni
Chombo, (Chi), chombo chombo, ntakapeleka ukweni
[Verse 2]
Macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo
Pekecha-pekecha, ulimbi ulimbombo
Mi ni wako ni ng'ang'anie, kama mbozi na kimondo
Nogesha-nogesha, pegere na kamongo
Oh baby-baby, (Baby) mwenzako nita dead-i (My baby)
Hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed-i, bed-i
[PreChorus]
(Oh lalala) Cheusi mangala, Wakanda (Oh lalala)
Tukale sangara, wa Mwanza (Oh lalala)
Nywele chotara, kinanda (Oh lalala)
Ghetto papara misamba
[Chorus]
Chombo, chombo, chombo, kanakwenda na fashion
Chombo, chombo, chombo, kana ngozi ya lotion
Chombo, chombo, chombo, mechi chumbani sebuleni
Chombo (Chi), chombo, chombo, ntakapeleka ukweni
[Outro]
Oh, lo-lo-lo-lo-lo-lo-lo-lo
Oh, lo-lo-lo-lo-lo-lo-lo-lo
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out