Music Video

Iyanii - Furaha (Remix ft Arrow Bwoy, Nadia Mukami, Kristoff, Dogo Janja, Exray)
Watch Iyanii - Furaha (Remix ft Arrow Bwoy, Nadia Mukami, Kristoff, Dogo Janja, Exray) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Iyanii
Iyanii
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ian Oure Okwemba
Ian Oure Okwemba
Songwriter

Lyrics

Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki

Kwa sherehe tumefika (Sherehe tumefika), kwa sherehe tumefika (Sherehe tumefika)
Familia iko ndani, ndani (Wote tunajibamba), marafiki majirani, rani (Wote tunajibamba)
I am happy today (So happy), I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi), tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Comrades power (Power), comrades power (Power)
Dame naivua shati (Shati), niifunge kwa kiuno (Moto), lazima nitese (Tesa), lazima nitese (Tesa)
Majukumu nitese (Sepe), nalewa na mabeste, lazima wanibebee (Bebwa), lazima wanibebe (Bebwa)
I am happy today (So happy), I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi), tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Nina furaha, nina mapesa nimebarikiwa, kina dada furaha, zamu yetu tumeshafikiwa
Basi tunywe tucheze pamoja, ona leo vile tunatesa, hilo timbo kilo si hoja, yana party bila pressure
Kina dada power (Power), kina dada power (Power), si tulihustle si tumepata pesa
Kina dada mpo (Tupo), leo ni kulewa hakuna kutekwa, kina dada mpo (Tupo)
I am happy today (So happy), I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi), tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Hapa fake friends apantambua, na ikifika weekend wananitambua
King wa sherehe anatokeaga ka zimeiva, na mapatin safi safi wameiva
Leo hatukuli pork, leo tuchome liver, mbona hukuli shock, right aikupiti ama ni bangi imekuchock, utakuwa black ka Lupita
Wait timarangi ndio nlidhania alikuwa anapita
Hii ngoma ni noma inanifanya niskie kudance (Hii ni kiboko yao)
Summer time niko na party time, kando nimegwayaa (Kiboko yao)
Ni noma, inanifanya niskie sudance, summer time niko summera party time, kando nimegwayaa (Kiboko yao)
I am happy today (So happy), I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi), tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Waiter leta pombe (Leta pombe), waiter leta pombe (Leta pombe)
Tunalewa popote, na tunakunywa beer yoyote, hatuogopi chochote, tununueiba yote
Gothire wedo, tamora ta, si tunapendana tukiwa maji, ata bila ganji, na jaba ni dijitali, tunaona mbali, naona tueke hai, twende mbali
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki, furaha, ni kulewa na marafiki
Tiki (Taka), tiki (Taka), tiki (Taka)

Written by: Ian Oure Okwemba
instagramSharePathic_arrow_out