Top Songs By Goodluck Gozbert
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Nina kushukuru Mungu sababu ya mengi
Hata uhai huu sikustahili
Nina kushukuru Mungu tena sababu ya vingi
Hata nikiwa nasali unajua namaanisha
Sio kama eti nilitenda wema wakuja linganisha
Na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini
[Verse 2]
Ulikonitoa ni siri ya moyo wangu
Matopeni topeni ukaniketisha na wakuu juu
Umenipa heshima ukanifuta machozi asante ooh baba
[Chorus]
Hata shukurani zangu ni kwako
Shukrani zangu ni kwako
Na shukurani zangu ni kwako
Shukurani zangu ni kwako, asante baba
[Verse 3]
Aibu umefuta fedheha umefuta
Umenipa amani iliyo ya kweli
Nakumbuka nalia mimi ndo yule ambae
Nilitukanwa na kwa dharau wakasema kwisha, habari yake
Kuna kipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea
Ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho
Ila kwa huruma uliniponya na kaburi
Kwa hurumaa na sitosahau
[Verse 4]
Wema wako wee baba kwako
Shukurani zangu ni kwako
Na shukrani zangu ni kwako
Shukurani zangu ni kwako, asante baba ooh
[Verse 5]
Kama kusoma tulisoma wengi
Umeruhusu niwe na kazi nzuri (Asante Baba)
Ajali tulipata wengi umeruhusu nibaki nauzima (Asante Baba)
Ndoa zilifungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani (Asante eeh)
Furaha wanakosa wengi umeruhusu tabasamu kwangu (Asante Baba)
Na shukurani
[Outro]
Yelele, yelele mama, yelele mama, yelele mama, yelele

Written by: Goodluck Gozbert, Goodluck Gozbert Wiki