Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Iyee)
Nimesamehe nibaki na amani (Iyee)
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Iyee)
Nimesamehe ili nisamehewe
[Verse 1]
Sisononeke moyoni, usijiumize na dunia hayafurahishi
Ni wengi walioniumiza, kuuguza moyo wangu linigharimu sana
Wazazi au ndugu, rafiki, mpenzi
Wanaweza kuumiza moyo wako
Nilitunza mengi moyoni visasi
Ila nasamehe baki na furahaa
[Verse 2]
Wakati mzazi anahangaikaa kunitaftia chakulaa
Hawakutaka hata kunisaidia
Leo hii (Nimefanikiwa), wanitaka
Wamesahau aliwatafuta wakamtimua nenda
[PreChorus]
Wajua nina maumivu ya moyo, mengi ni katu siwezi sahau
Ila ninasamehe, ninasamehe
Wala sio kwa ajili ya mtu, wala sio kwa ajili ya dunia
Ila kwa moyo wangu na amani ya kesho
[Chorus]
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Iyee)
Nimesamehe nibaki na amani (Iyee)
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Iyee)
Nimesamehe ili nisamehewe
[Verse 3]
Marafiki wengi huja ukiwa nazo, zikiondoka hautowaona tena
Nilijaribu kwa ndugu zangu kusimama na huyu mwenzangu
Baadaee akanisalitii
Nikaukana utu wangu, kuonesha upendo wangu
Niliyemuhangaikia leo ananisema vibaya
[Verse 4]
Natafakari wanadamu, tuna mioyo gani hii
Kama wanyama, hatuna huruma
Yani mpaka ninahurumiwa na watu
Mateso yashoishaga katu
Nimeyaacha, ninamuachia Mungu
Kama moyoni mwangu, pale hawakuthamini
Hata nisiposamehe, hawawezi jifunza
Sio wote wataniomba msamaha (Hawawezi)
Wengine walikufaga (Hawawezi)
Sijui nitatunza vya nini
[PreChorus]
Wajua nina maumivu ya moyo, mengi ni katu siwezi sahau
Ila ninasamehe, ninasamehe
Wala sio kwa ajili ya mtu, wala sio kwa ajili ya dunia
Ila kwa moyo wangu na amani ya kesho
[Chorus]
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Nimesamehe)
Nimesamehe nibaki na amani
Nimesamehe (Iyee), nimesamehe (Iyee)
Nimesamehe ili nisamehewe
Written by: Goodluck Gozbert
instagramSharePathic_arrow_out