Top Songs By Goodluck Gozbert
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Kwanza nimenyoa deni
Napenda sana mitindo ya nywele
Kuruka usiseme, viwanja vipya ninakaribishwa
Kwenye kura saa za Insta nakesha
Nikitafuta tena mabaya
Nikisikia mabata nataka
Nalitafuta tena nalipa
Wala silipi maden, nikikopa na beti
Wala sionagi soni
Fungu la kumi kwangu hio ni stori
Nasubiri jumapili (Sunday)
[Verse 2]
Hata najua sina imani, japo ninaitikia Amina
Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua
Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa
[PreChorus]
Ooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Ooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
[Chorus]
Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Ooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[Verse 3]
Kuna venye hii movie inanichoma
Hasa ile parapanda
Ikipigwa wakizika
Na appear, sirudii kosa
Maneno yananichoma
Binadamu ni maua
Ikipita wiki moja masikini nasahau kabisa
[PreChorus]
Ooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Ooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Ooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
[Verse 4]
Nakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimame
Nakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimame
[Chorus]
Eeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Ooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Written by: Goodluck Gozbert